#KombeLaDunia2026 Paraguay vs Australia ni vita ya kufa au kupona…

Kila timu ina alama tatu, ni ama watoke sare wafuzu wote au mmoja apigwe ili mwingine awe na uhakika wa kwenda 32 bora.

Je, nani atapigwa??

Mechi hii ni saa 11:00 alfajiri LIVE #AzamSports2HD kwa lugha zote mbili, Kiswahili na Kiingereza. Utachagua mwenyewe lugha ipi unaitaka.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *