Wafugaji na wakulima mkoani Njombe hususani hususani katika wilaya ya Wang’ing’ombe wameomba msaada wa usimamizi bora wa ardhi ili kukabiliana na tishio la ukame ambalo linaweza kuharibu mazao na mifugo na kuathiri sekta nzima ya uzalishaji.��Emmanuel Kalemba amefuatilia uhaba wa malisho ya mifugo wilayani humo na kuandaa taarifa ifuatayo.

��Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *