VIWANJANI: Junior Besta, kinda wa soka kutoka Tanzania anayekipiga nchini Hispania, anaeleza safari yake ya soka kuanzia hatua zake za mwanzo, changamoto alizokutana nazo, mafanikio aliyoyapata na ndoto zake za kufika mbali katika mchezo wa mpira wa miguu.
#Viwanjani
(Feed generated with FetchRSS)