#HABARI: Viongozi mbalimbali wa dini nchini wamewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na mshikamano wakitaifa kwa kutokukubali kufuata mkumbo wa kuhamasishwa kufanya vurugu na matukio ya uvunjifu wa amani ya Julai 07, 2026, badala yake watumie siku hiyo kusherehekea maonesho ya sabasaba.
Viongozi hao wa dini wamezungumza hayo kwa nyakati mbalimbali jijini Dar es Salaam, walipokua wakitoa nasaha zao kwa Watanzania kufuatia kuwepo kwa watu wenye nia ovu, kuandaa mkakati wa kufanya vurugu ili Watanzania hususani vijana washiriki kuvunja amani.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)