#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo, ametembelea Kijiji cha Madini, ambacho kimekuwa gumzo kubwa katika maonesho yanayoendelea ya Kibiashara ya Kimataifa ya Sabasaba na kupata fursa ya kukagua mabanda yote ndani ya Kijiji hicho.
Mbibo ambaye alipokelewa na viongozi kutoka Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Madini walioongozwa na Meneja wa Masoko na Mahusiano ya Umma kutokea STAMICO Bw Deus Alex Ntukamazina, alianzia katika banda la STAMICO na kuridhishwa na maelezo kuhusiana na miradi ya STAMICO.
Ameipongeza STAMICO kwa uratibu mzuri katika kuandaa ushiriki wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Madini na wadau wengine wa madini, pamoja na kuendelea kufanya ulezi mzuri kwa Wachimbaji wadogo.
Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
Capitalradio Tanzania
(Feed generated with FetchRSS)