
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita ulioanza kufanyika Mei 4, 2026.
Matokeo hayo yametangazwa leo Jumatatu, Julai 6, 206 na Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed jijini Dar es Salaam.
Jumla ya watahiniwa 133,655 walifanya mtihanim huo, miongoni mwa watahiniwa wa shule, 64,187 ni wanaume (asilimia 50.71) na 62,391 ni wanawake (asilimia 49.29).
Endelea kufuatilia Mwananchi…