Klabu ya Soka ya Azam, imetangaza kumsajili winga Henoc Molia, akitokea St. Eloi Lupopo ya nchini DR Congo.
Winga huyo mwenye uwezo wa kucheza upande wa kulia na kushoto amezaliwa mwaka 2004, akiwa na miaka 22 na ni raia wa DR Congo.
(Imeandaliwa na @allymufti_tz)
#AzamFC #Usajili

(Feed generated with FetchRSS)