Tanzania na Misri zimekubaliana kufungua fursa zaidi za biashara ikiwemo usafirishaji wa mizigo na uwekezaji kati ya mataifa haya mawili kufuatia makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizi wakati wa ziara ya kikazi ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi nchini hapa.��
Nchi hizo zimekubaliana kuunganisha bandari ili kukuza biashara na uchumi kwa mataifa hayo.��
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)