#HABARI: Mkurugenzi wa DAPO Recovery House Kigamboni, Surah Nyembo, amesema wazazi na walezi wanapaswa kuchukua hatua za mapema kwa kuwapeleka vijana wanaokabiliwa na changamoto za matumizi ya dawa za kulevya katika vituo vya Sober House, ili wapate matibabu, ushauri nasaha na uangalizi wa kitaalamu.

Amesema hatua hiyo husaidia kuwajengea vijana msingi mpya wa maisha, kuwawezesha kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na kurejea katika jamii wakiwa na afya njema, maadili mema na uwezo wa kushiriki shughuli za maendeleo.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *