DAR BOXING DAY
Crown ya mwaka wa mbele ni sehemu ya zawadi katika Vitasa hivi
Dar Boxing Derby ni Ijumaa hii Julai 24
Pambano kuu ni Juma Choki dhidi ya Tony Rashid
Pambano hili litasindikizwa na mapambano mengine 11,
Vitasa hivi vitaanza saa 12:00 jioni na kuruka mubashara kupitia AzamSports3HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama ngumi hizi.
#Azamtvsports #VitasaNight

(Feed generated with FetchRSS)