Huenda nawe ni miongoni mwa wale wanaodhani kuwa ndege hii ndogo iliyoegeshwa katika eneo la mbele la Makao Makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) ni kazi ya sanaa na sio ndege halisi.
Usijilaumu hauko peke yako, ndio maana hapa inakuja simulizi kuhusu ndege hii ya CESSNA 5H-SJS.
Sikiliza simulizi yake fupi.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)