Benki ya mkombozi imesema uimara na ukuaji wa uchumi wa Tanzania ambao licha ya kuwepo kwa mfumuko wa bei umesaidia kuwepo kwa ongezeko la wakopaji katika benki hiyo ikiwa ni kiashiria cha kuimarika kwa biashara.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki hiyo, Gaspar Njuu na watendaji wengine wamebainisha hayo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa benki hiyo ambapo sambamba na hayo pia benki hiyo imesema inaendelea kuongeza jitihada za kuwafikia watu wa chini zaidi.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)