#HABARI: Mbunge mstaafu wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Pareso amewataka Wakazi wa mkoa wa Manyara kuogopa matapeli wa kisiasa wanaopotosha juu ya uwepo wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu kwani uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa katiba na kuwataka Watanzania kumchagua mgombea urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ili aweze kuwaletea maendeleo wananchi.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa CCM uliofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani mjini Babati mkoani Manyara ambapo amesema kuwa Dkt. Samia ana uwezo mkubwa wa kuongoza Watanzania kwa weledi na kutatua changamoto mbalimbali za Watanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.