#HABARI: Katika hali isiyo ya kawaida watu wawili waliofahamika kwa majina ya Neema Moshi na Neema Joseph, wakazi wa Mtaa wa Lwenge, Manispaa ya Geita, wamelazimika kukubaliana kuivunja nyumba yao ili kumaliza mgogoro wa mipaka ya ardhi baada ya mpaka huo kuzua mgogoro kwa zaidi ya mwaka moja na kupelekea majirani hao kutishiana kukatana mapanga na kuchomeana nyumba.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.