Katika kampeni zake za leo, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuchochea ukuaji wa shughuli za uchumi za kisiwa cha Tumbatu kwa kujenga gati ya kisasa na barabara.
Mtumwa Said anaelezea zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi