Araqchi: Kufunga Mlango Bahari wa Hormuz si sera rasmi ya IranAraqchi: Kufunga Mlango Bahari wa Hormuz si sera rasmi ya Iran



Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesisitiza kuwa suala la kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz si msimamo rasmi wa Iran, na kusisitiza kuwa sera ya Tehran ni kudumisha amani na utulivu katika Ghuba ya Uajemi.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *