#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Edward Mpogolo, amewataka vijana, wanawake na makundi maalum Jijini Dar es Salaam, kutumia vyombo vya usafirishaji walivyokabidhiwa ikiwemo Pikipiki 39 na Bajaji 6 vilivyogawanywa kwa vikundi sita kama fursa ya kujikwamua kiuchumi, hatua hiyo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri na inapaswa kuwa chachu ya maendeleo na vitumike kwa usahihi ili kuleta tija kwa wanufaika na jamii kwa ujumla.

Mpogolo amesema vijana, wanawake na makundi maalum katika Jiji la Dar es Salaam wanaendelea kunufaika na fursa za kiuchumi zinazochochea ustawi wa jamii na kupunguza hali ya utegemezi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *