#HABARI: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania “THRDC” umebainisha kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji kujielekeza katika kuja na muafaka wa kitaifa ambao utakuwa muarobaini wa changamoto mbalimbali ambazo zimejitokeza na kusababisha mgawanyiko na kuwa na njia bora ya upatikanaji wa katiba bora kwa maslahi ya taifa.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam Mratibu wa Kitaifa wa mtandao huo Wakili Onesmo Olengurumwa amesema ni ngumu taifa lolote kupata katiba nzuri iwapo mchakato utaendeshwa katikati ya migogoro.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.