Hamas: Kitendo cha utawala wa Kizayuni kukataa kukabidhi miili ya mashahidi wa Kipalestina kinaonyesha ukatiliHamas: Kitendo cha utawala wa Kizayuni kukataa kukabidhi miili ya mashahidi wa Kipalestina kinaonyesha ukatili



Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuwa, utawala ghasibu wa Israel umekataa kukabidhi maiti 726 za mashahidi wa Kipalestina na kukitaja kitendo hicho kuwa jinai na ukatili wa kutisha wa adui Mzayuni.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *