#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Dr. Janet Lekashingo akizungumza na baadhi ya wamiliki wa Migodi na wachimbaji wa Madini mkoani Ruvuma, amewataka kufuata kanuni za uchimbaji salama wa Madini, ili kulinda afya zao na mazingira.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.