Waziri wa Ulinzi: Vikosi vya Iran vilipenya mifumo ya ulinzi wa makombora ya IsraelWaziri wa Ulinzi: Vikosi vya Iran vilipenya mifumo ya ulinzi wa makombora ya Israel



Waziri wa Ulinzi wa Iran amesifu uwezo wa hali ya juu wa kijeshi wa taifa hili wakati wa vita vya siku 12 vya uchokozi vilivyoanzishwa na Marekani na Israel, akisema kuwa Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viliweza kupenya mifumo ya ulinzi yenye tabaka nyingi ya utawala wa kichokozi wa Israel na kusambaratisha ngome kadhaa za kijeshi kwa kutumia makombora ya kisasa.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *