#HABARI: Makundi tofauti tofauti ya viongozi na baadhi ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wamejengewa uwezo wa kuwaelimisha watu wenye ulemavu vijijini, jinsi ya uelewa masuala ya uchaguzi ili na wao waweze kushiriki katika uchaguzi kwa njia rafiki kama jinsi wanavyoshiriki watu wengine ambao sio wenye ulemavu. Mafunzo hayo yametolewa na Taasisi ya Youth With Disability Organisation (YOWDO).
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.