#HABARI: Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF, umeanza kusajili wanachama kwa njia ya kidijitali huku wanufaika wa mafao nao wakirahisishiwa mchakato wa kufungua madai, mara ajira zao zinapokoma kwa kutumia simu ya mkononi.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Iringa Benedict Wela, ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na wateja wa mfuko huo mjini Iringa kwenye ufunguzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.