#VIDEO: “Jambo jengine tutapiga marufuku, ndugu wananchi tutapiga marufuku hospitali yoyote nchini kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa………. ” – Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania