Kwa nini utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen?Kwa nini utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen?



Maafisa wa utawala wa Kizayuni wamekiri kwamba utawala huo hauna uwezo wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora ya muqawama wa Yemen, ambayo yanalenga kwa usahihi mkubwa shabaha zilizoko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *