Hamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa GazaHamas: US ni mshiriki wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza



Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya Marekani ya kutumia turufu dhidi maazimio ya Umoja wa Mataifa “inaifanya kuwa mshiriki” wa jinai za utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *