Rais Pezeshkian asisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa Iran na MadagascarRais Pezeshkian asisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa Iran na Madagascar



Rais Masoud Pezeshkian amewataka mabalozi wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika nchi za Madagascar na Croatia kuimarisha uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi hizi mbili.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *