Taarifa ya Habari Asubuhi 29.08.2025Taarifa ya Habari Asubuhi 29.08.2025
29 Agosti 2025

Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Israel kujizuia kuuteka na kuudhibiti Mji wa Gaza // Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema mashambulizi makubwa ya anga ya Urusi mjini Kiev, yanaonyesha kuwa Rais Vladimir Putin anataka kuendeleza vita // Na takribani nchi nne za Afrika zitakosa chakula maalum cha kuokoa maisha ya watoto wenye utapiamlo katika kipindi cha miezi mitatu ijayo

https://p.dw.com/p/4zfTP

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *