#HABARI: Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo lillokuwa limebeba vifaa vya ujenzi katika Kijiji cha Rumasa, Wilaya ya Chato mkoani Geita.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Safia Jongo, amethibitisha kutokea kwa taarifa hiyo ambapo kwa mujibu wa walioshuhudia ajali hiyo wamesema imetokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo, Oktoba 7, 2025.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *