Russia na China zimechukua hatua kukabiliana na mpango wa nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya, E3, na kusambaza rasimu ya azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalopendekeza “urefushaji wa kiufundi” kwa muda wa miezi sita utekelezaji wa wa Azimio 2231 la baraza hilo.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
