#HABARI: Chama cha Orange (ODM) kwa mara nyingine kimekanusha uvumi kuhusu hali ya afya ya kiongozi wa chama hicho, Raila Odinga, ambaye hajaonekana kwenye hadhara kwa zaidi ya majuma mawili huku wandani wake wakidai kuwa madaktari wamemtaka kuchukua muda wa kupumzika.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.