#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Tatizo Yohana Mzumbwe, mkazi wa Masoko mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mama yake wa kambo aitwaye Merry Yohana (61) aliyekuwa mkazi wa Masoko kwa kumkata na panga kichwani.

Anatuhumiwa kutenda tukio hilo Oktoba 6, 2025 saa 2:00 asubuhi huko katika Kijiji cha Mapinduzi, Kata ya Masoko, Tarafa ya Isangati, Mkoani Mbeya, kwa kumuua Merry Yohana, ambaye pia alikuwa mkazi wa Masoko alikuwa mwenye ualbino.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *