Viuatilifu vilivyopigwa marufuku Ulaya vyaangamiza nyuki AfrikaViuatilifu vilivyopigwa marufuku Ulaya vyaangamiza nyuki Afrika



Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mazao ya thamani kama kahawa, alizeti na mengine yako hatarini kufifia kutokana na kupungua kwa idadi ya nyuki, waliokumbwa na athari za viuatilifu katika maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *