Mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran yamesababisha Israel hasara ya mabilioniMashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran yamesababisha Israel hasara ya mabilioni



Maafisa wa utawala wa Israel wamethibitisha kuwa mashambulizi ya kisasi ya Iran dhidi ya taasisi za Israel wakati wa vita vya siku 12 yamesababisha hasara ya mabilioni ya shekel kwa utawala huo, huku zaidi ya madai 53,599 ya fidia yakiwasilishwa.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *