Uturuki yafunga bandari na anga zake kwa meli na ndege za IsraelUturuki yafunga bandari na anga zake kwa meli na ndege za Israel

Uturuki, ambayo ilisitisha uhusiano wa kibiashara na Israel tangu mwaka jana, imetangaza siku ya Ijumaa, Agosti 29, kwamba imefunga bandari na anga yake kwa ndege na meli za jeshi la Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *