#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linafanya uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa Daud Wilbard Ntuyehabi, ambaye alikuwa akigombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha na waliojichukulia sheria mkononi.

Mauaji hayo yametokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, Sanya Juu Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *