#HABARI: Sarah Manfred Mkinga, Mkazi wa Songea anaomba msaada wa mtoto wake anayesumbuliwa na saratani ya misuli ambapo ameshindwa kumudu gharama za matibabu, anaomba umma kumchangia kiasi cha Shilingi milioni moja na laki saba (1,700,000) ili mtoto wake aweze kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam kupitia upasuaji.

Kwa yeyote atayeguswa na tatizo la mtoto huyo, anaweza kumchangia kupitia namba yake ya simu ya mkononi namba 0786421966, jina: Sarah Manfred Mkinga.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *