#HABARI: Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Bw. Ismail Ali Ussi, ametembelea Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kuwasihi wananchi washiriki uchaguzi kikamilifu kwa kuchagua Viongozi watakaoleta Maendeleo.
Pia Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri hiyo Bw.Godson Mbelwa, amesema mpaka sasa wameandikisha wananchi zaidi ya 200,000 na vyama 12 vinashiriki Uchaguzi.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.