#HABARI: Idadi ya watalii wanaotumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) imeongezeka kutoka wageni 800,000 kwa mwaka na kufikia wageni zaidi ya milioni moja kwa sasa kutokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kutangaza utalii wa Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani kupitia filamu ya Royal Tour.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.