Madereva wa Bajaji jijini Dodoma wamekuja na ubunifu wa kipekee wa kuongeza nakshi na mapambo kwenye bajaji zao ili kufanya usafiri huo kuvutia zaidi kwa abiria.

#AzamTVupdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *