#HABARI: Wadau mbalimbali wamendelea kuchangia ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari ya Kawe Ukwamani, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, ambapo kampuni inayojishugulisha na ujenzi ya Sami Works Limited, imekabidhi mchanga na kokoto vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja na laki saba.
Akikabidhi vifaa hiyo kwa Mwalimu wa Shule ya Kawe Ukwamani, Bw. Salimin Amuri, amesema anaunga mkono jitihada za ujenzi wa uzio ili kuwezesha wanafunzi kusoma katika mazingira mazuri na salama.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania