Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Mhandisi Zena Ahmed Said, amewataka vijana kuwa mstari wa mbele katika kudumisha amani na utulivu nchini.
Ametoa wito huo wakati akizindua Mkakati wa Kitaifa wa Vijana wa Kudumisha Amani na Maendeleo Endelevu huko Zanzibar, akisisitiza kuwa vijana wana nafasi muhimu katika kulinda misingi ya umoja na mshikamano wa kitaifa.
Mhariri | @claud_jm
#UTV108 #AzamTVUpdates