Israel na Hamas wametia saini awamu ya kwanza ya mpango wa amani wa Gaza unaosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump.

Hatua hiyo inaashiria mwanzo wa kupatikana kwa suluhu ya kudumu katika eneo hilo, ambapo inatarajiwa kuwa mateka wote wataachiliwa hivi karibuni, huku Israel ikijiandaa kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Gaza.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates #UTV108

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *