#MICHEZO:Bondia Kutoka Mkoa wa Tabora Abdul Zugo, ameibuka mshindi kwa TKO katika pambano la Ubingwa wa kuwania mkanda wa Dunia wa WPBF uzito wa kilo 63 Super right weight, dhidi ya Bondia kutoka Nchini India Sameer Kumar, lililofanyika usiku wa leo Mkoani Tabora.
#ITVDIGITAL #ITVTanzania
#Follow RadioOneStereo