#HABARI: Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete, amewajibu wale waliomzushiwa kifo kupitia mitandao ya kijamii hivi karibuni akisema yeye yupo mzima, afya yake ni nzuri, hana mafua wala kichomi, huku akisema wanaomwombea mabaya watatangulia wenyewe, na kisha yeye atahudhuria mazishi yao!

Kikwete ameyasema hayo leo, Oktoba 10, 2025, alipokuwa akisalimia wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, katika Mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulioongozwa na Mgombea Mwenza wa Urais kupitia CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *