#HABARI: Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha aliyemaliza muda wake, Cecilia Paresso amewataka wanawake kote nchini kujitokeza kwa wingi kumpigia kura mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dkt.Samia Suluhu Hassan Oktoba 29,2025.
Amesema hayo kwenye mkutano wa mgombea Mwenza wa chama hicho uliofanyika Bagamoyo mkoa wa Pwani kuwa kufanya hivyo kunaimarisha nafasi ya mwanamke kwenye ngazi ya maamuzi.
Kada huyo wa CCM amewasihi pia vijana kutumia nafasi muhimu ya kuwachagua viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ili kuendeleza kasi ya maendeleo nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.