Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma(SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Butiama mkoani Mara na kuweka shada la maua.
Kyara amezuru kaburini hapo akiambatana na Mgombea mwenza Satia Bebwa wagombea hao pia walipata fursa ya kuongea na familia ya Hayati Mwalimu Nyerere.
✍Alpha Jenipher
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates

