Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameua watu 19 mashariki mwa DRC

Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wamewauwa watu 19 katika shambulio la usiku moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kuzidisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo lenye utajiri wa madini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *