Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga (80) amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ayurvedic iliyopo Koothattukulam, Kerala nchini India.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *