#HABARI:Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza walimu nchini wasichoke kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko yanayoendelea kutokea Duniani.
Dkt. Biteko amesema katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara wakati akifungua Semina ya Viongozi wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi iliyoshirikisha viongozi kutoka mikoa minane.
Amesema Serikali imekuwa ikiboresha maisha ya watumishi wake wakiwemo walimu na tayari na walimu wenyewe wanaelewa maboresho yaliyofanyika ili kuwawezesha kuishi maisha ya staha.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.